Nyota na bahati

thanks for support how can thank..

Nyota na bahati

Leo tutajadili changamoto ya kusafisha nyota ya biashara. Kabla hatujajadili changamoto hii tupate maoni kutoka kwa msomaji mwenzetu. Kama tulivyoona kwenye maoni ya msomaji mwenzetu kuna watu wengi sana wanaopitia changamoto kama hiyo na wengi zaidi wanaoamini hawana nyota ya biashara au nyota yao imechafuliwa.

Unapoanza kujiuliza kama una nyota ya biashara au huna hapa unaingia kwenye maswala ya imani.

Phd scholarships 2020

Na kama utaamini una nyota ya biashara ni kweli utakuwa nayo na pia kama utaamini huna nyota ya biashara ni kweli hutakuwa nayo. Hakuna kitu kwamba watu fulani ndio wamepewa nyota ya biashara, kila mtu anaweza kufanya biashara kama atakuwa anaipenda kweli na kama atajituma na kufanya kazi kwa juhudi na maarifa na kutokukata tamaa.

Habari ya kuchafuliwa nyota ya biashara nayo ni imani, kama utaamini nyota yako imechafuliwa itakuwa imechafuliwa kweli. Lakini kitu kimoja nachoweza kukuambia ni kwamba kama nyota yako imechafuliwa basi umeichafua mwenyewe.

FAHAMU MENGI KUHUSU NYOTA YAKO

Hakuna mtu yeyote anayeweza kuchafua nyota yako ya biashara isipokuwa imani yako. Kumbuka imani inaumba, chochote unachoamini bila ya kuyumbishwa kinakuwa kweli. Kama nilivyosema kwenye makala hivi ndivyo unavyoweza kuepuka chuma ulete kwenye biashara yako wewe mwenyewe ndio chuma ulete wa biashara yako.

Kitu ambacho kinatokea kwa msomaji mwenzetu ni hali ya kawaida kwenye biashara, mafanikio kwenye biashara na hata maisha kwa ujumla sio njia iliyonyooka, bali ni njia ambayo ina kona nyingi na inaweza kukukatisha tamaa.

Flutter draw half circle

Unapoanza biashara unaweza kuwa na matumaini makubwa na shauku kubwa ya kufanya biashara hiyo. Baada ya muda kidogo unaanza kukutana na changamoto ambazo kama hujajipanga zinaweza kukukatisha tamaa na ukaondoka kwenye biashara kabisa. Kila biashara inapitia kipindi kigumu na wale wanaoweza kuvumilia ndio wanapata mafanikio, wanaoshindwa kuvumilia ndio wanakata tamaa na kuanza kutafuta sababu kwa nini wameshindwa. Kwa kuwa kufanikiwa au kushindwa kwenye biashara inategemea na wewe mwenyewe, hapa nakushirikisha mambo machache yanayoweza kukupitisha katika kipindi hiki kigumu.

Kuwa na mpango wa biashara ambao utaainisha hatua zote za biashara. Kama unafanya biashara kwa njia za kienyeji ni vigumu sana kujua kama biashara iko vizuri au imeshaanza kuporomoka. Jinsi unavyochelewa kujua maendeleo ya biashara yako ndio inavyokuwa rahisi kwa wewe kupata hasara.

Bahati ft Rayvanny - Nikumbushe ( Official Music Video )

Kuwa na mpango mbadala wa kukuinua mambo yanapokuwa magumu. Mara nyingi inashauriwa kutokuweka mtaji wako wote kwenye biashara pale unapoanza. Hii ni kwa sababu ikitokea changamoto na ukawa huna fedha za kukunyanyua utapotea kabisa. Hivyo mwanzoni mwa biashara weka sehemu ya mtaji pembeni kama fedha ya kukuinua pale mambo yanapokwenda vibaya. Fedha ndio damu ya biashara, ukiwa na usimamizi mbovu na ukaanza kupoteza fedha ndio kifo cha biashara kinaanza na baadae unasingizia chuma ulete.

Asilimia kubwa ya biashara zinazokufa matatizo yanaanzia kwenye usimamizi wa fedha. Soma; Njia sita za kudhibiti matumizi ya fedha kwenye biashara. Ndio una nyota ya biashara na hapana hakuna aliyechafua nyota yako ya biashara. Usihangaike kwenda kwa mganga kusafishiwa nyota. Mganga anaenda kubadili saikolojia yako tu, kitu ambacho hata wewe unaweza kukifanya.

USHAURI; Jinsi Gani Unaweza Kusafisha Nyota Yako Ya Biashara.

Amini kwamba unaweza kufanikiwa kwenye biashara na weka juhudi na maarifa ili uweze kufikia mafaniko makubwa. Soma; Kwa nini waganga wanaweza kuwasaidia wengine wakati wao wana maisha magumu.

Hili ndio jamno la msingi sana kwenye biashara na hata kwenye maisha. Mambo yanapokuwa magumu na lazima itakuwa hivyo sio wakati wa wewe kukata tamaa na kuachana nayo bali huo ndio wakati wa wewe kujifunza na kufanya marekebisho madogo madogo ili uweze kufikia malengo yako. Kuwa na uvumilivu huku ukijaribu njia mbalimbali zinatakozoweza kukutoa kwenye hali hiyo ngumu. Kufanikiwa au kushindwa kwa biashara yako kupo mikononi mwako. Amua kwamba utakwenda kufanikiwa kwenye biashara unayofanya na tumia njia zote ulizojifunza na utakazoendelea kujifunza ili kufikia mafanikio hayo.

Kushindwa sio mwisho wa safari bali ni sehemu ya kujifunza. Usiwasikilize wanaokukatisha tamaa na kukuambia huwezi.

Ufc logo svg

Kama una changamoto ambayo inakuzuia kufikia malengo yako unaweza kuitoa kwa kubonyeza maandishi haya na kujaza fomu.Natumai hamjambo wadau wa group langu la nyota. Ni tumshukuru mola alietuwezesha kuuvuka mwaka na kutuweka hai hadi leo. Kutokana na uhitaji wa wengi kutaka kujuwa nyota zao,maana zake,kazi za nyota zao,mapenzi na mpenzi anayemfaa.

Yaani jedwali lote kuhusu nyota na kazi zake. Nimeamua kutoa hiki kitabu ili usipate usumbufu. Maelezo yote yapo ndani. Kila unahitaji kufahamu kuhusu nyota yako utakipata katika kitabu hichi. Kitaanza kupatikana kuanzia jumatatu. Wale watu mia moja wa kwanza watakaopiga oda watakipata kwa bei ya elfu Baadae bei itabakia Fanya oda yako mapema.

Usumbufu tuepuke tuwenu wastaarabu Shukraan. Hamjambo wadau wa group la nyota. Napenda kuwaeleza kwa manufaa yenu,kila siku watu wanaomba kuingia hapa group. Ni sawa mawapa nafasi,ila muzingatie masharti.

Xvideoservicethief 2019 linux ddos attack online download for windows 7

Kuhusu kitaka kujuwa yote kuhusu nyota yako, mwelekeo wake. Kujuwa mpenzi,kazi,siku za bahati. Na mengine mengi,yote utapata katika kitabu hicho. Maelezo:Messeji za kitaka kujiwa nyota,na mengine sitajibu,sasa muda hakuna. Nunua kitabu utapata jibu lako. Tuache usumbufu wakati huu wa janga la corona. Tuwe waangalifu,tufuate masharti,na kuosha mikono kwa majini ya mtiririko.

Bei ya kitabu:Elfu 5. Kuna watu wanashangaza sana sijui wanaona kuwa wenzao wanacheza au vipi mtu anauliza kutaka kujua nyota yake unamueleza vizuri tu tena bila gharama mwingine anakuja kujoki wenzake hii ni elimu tena ngumu.

NA kumuita tajiri wa kijini NASBIN JINNI pata sandarusi chukua udhu siku ya jnne saa 12 asubuhi soma suratul fatih 41 kisha soma surtatul jinni mpaka aya ya 6 ukifika aya hiyo rudiarudia aya hiyo mpaka atokee na akifika chukua kiasi cha pesa utakacho mdomoni kwake ONYO husifanye kama huna nia na husiwe muoga.Enter your comment AFK Arena Tier List the top best legends in the game to concentrate on at clearly the starting stage and to the till end.

We should take a gander at our AFK Arena. AFK Arena Before starting the game, you should know by a wide edge a colossal piece of the bits of getting concerning your legends. For the various stages, as on timetable, mid. Locate the best amazing individuals for your social occasion in this AFK Arena level once-wrapped up. Legends are molded subject to how strong they are and how much respect they bring.

The best stunt to play the game is challenge better players and don't consider yourself to be the victor. Gain proficiency with another ability each time you play the game and attempt to utilize it while going on a test in order to ace the demonstration and make it a magnum opus when you truly need to use it. Nice Post. Thanks for giving information!!! Vipindi za kila siku [habari][bleft].

Video: Bahati – Nyota

MAWE [mawe][bleft]. NYOTA [nyota][twocolumns]. View my complete profile. Je Ndoto zipi ambazo hazina maana? Tafsiri ya ndoto kwa ujumla:.

Diy centrifugal supercharger

Labels: habari. Newer Post Older Post. Unknown December 8, at PM. Unknown December 26, at AM. LauryTz September 30, at PM.Ni vizuri kujuwa na kufahamu kinyota unatakiwa ufanye nini cha kuipa nguvu nyota yako, wapo wenye vipaji, ujuzi na taaluma mbalimbali lakini wanapata vikwazo, vizuizi kutokana na nyota zao.

Nyota zote zina siku zake za bahati, zina rangi zake za bahati na namba zake kuu za bahati, kuna nyota zinahitaji uwe mkulima au mfugaji zipo zinahitaji uwe mvuvi au mchimbaji wa madini. Like Like. You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account.

You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email. Share this: Twitter Facebook. Like this: Like Loading Karibu sana na endelea kutembelea Asili Zetu Like Like.

nyota na bahati

Leave a Reply Cancel reply Enter your comment here Fill in your details below or click an icon to log in:. Email required Address never made public. Name required. About Home Contact. Post to Cancel. By continuing to use this website, you agree to their use.

To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy.Pesa inatambulika kama nyenzo ya kukuwezwesha kupata kitu au huduma, lakini kwa watu wengine huchukuliwa katika tafsiri tofauti, Kwa wengine pesa kwao huwa ni ulinzi na furaha na kwa wengine huwa ni starehe au njia ya kumaliza matatizo aliyonayo huyo muhusika.

Lakini kuna upande mwingine wa Pesa, namna gani unaweza kuipata au kuivuta ije kwako. Hujawahi kusikia watu wakisema hata wewe ukisema kwanini Fulani anatengeneza pesa kuliko mimi na inawezekana wewe na yeye mumezaliwa tarehe moja na nyota yenu ni moja.

Pamoja na kwamba nyota yako inachangia katika wewe kupata pesa kuna mambo mengine yanaweza kukupa mchango mkubwa katika kupata pesa mfano,sehemu ulipozaliwa, elimu yako, makuzi ya wazazi wako, pamoja na mambo mengine ni moja wapo ya mambo ambayo yanachangia wewe kuwa na Uchumi mzuri au kivutio cha Pesa.

Wakati mwingine sio wewe hata mimi huwa najiuliza ni kwa nini watu wanaozaliwa tarehe mmoja mwezi mmoja lakini huwa wanatofautiana mwingine tajiri na mwingine maskini au hana kitu.

Kwanza kabisa Jina lako ni muhimu sana, kama ilivyo tarehe yako ya kuzaliwa katika kukusaidia wewe kupata pesa………. Mfano unampa mtoto jina Matatizo au masikini au shida ……… na kadhalika.

nyota na bahati

Jina huwa linaweza kubadilishwa lakini tarehe ya kuzaliwa haibadiliki kama ilivyo Mshale wa Kampasi ambao saa zote huwa unaelekea kaskazini……… Hii ndio sababu kila tarehe lazima iwe na maelezo yake ya namna ya kufanya ili kuweza kupata mafanikio Mfano Hata ukiwa umezaliwa tarehe moja na mtu mwingine hamuezi kuugua ugonjwa mmoja au kuoa tarehe moja na wala kuweza kupata mafanikio wakati mmoja, kwa hiyo tofauti zilizopo za namna ya kupata pesa ni lazima zieleweke.

Njia nzuri ya wewe kupata pesa ni kujiingiza katika Nyanja au kazi ambazo ni mpya na halisi au za uhakikakwa maana ya kufanya Biashara mpya kuwa na miradi mingi kwa wakati mmoja au huku unafanya kazi huku unafanya biashara.

Kama ilivyo tarehe yako ya kuzaliwa unatakiwa uwe na mamlaka juu ya wengine kwa maana ya kwamba uwe wewe ndie mmiliki wa shughuli, kama kampuni yako mwenyewe na siyo kuajiriwa au kutumwa Jitegemee, jitume na uwe ni wewe, jaribu kuwa na hisia au mawazo ya kufanikiwa na mara kwa mara buni njia tofauti za kupata pesa tena nyingiJaribu kuwa muaminifu na kopa katika Taasisi zinazoeleweka. Miezi ya Februari, April na Agosti ndio miezi yako ya mafanikio,katika utekelezaji wa Shughuli zako jaribu sana kuwa makini na mfuatiliaji wa mambo yako usiwaachie watu.

Tahadhari katika miezi ya Januari, May na Oktoba, hii siyo miezi mizuri kwako usikope wala kukopesha au kuanzisha shughuli yoyote ya kipato katika miezi hiyo.

nyota na bahati

Waliofanikiwa ambao ni Mamilionea wa Namba 1 ni hawa wafuatao:- 1. Wewe huwa unakuwa na aibu katika utafutaji wa Pesa hasa katika shughuli zako mwenyewe.

Njia nzuri sana kwako wewe kupata pesa ni kwa kuzikusanya na kuzihifadhi kidogo kidogo kwa muda mrefu, kwako wewe kinyota huwezi kupata pesa nyingi kwa wakati mmoja na huwa zinakuja ukiwa unajishughulisha na shughuli zinazohusiana na jamii, mambo ya ubunifu, mbinu na mipango ya watu ambao mnaelewana au wako tayari kushirikiana na wewe, hiyo itakuongezea spidi ya wewe kupata pesa.

Jiunge katika kusaidia watu hiyo itakuletea faida ya kifedha baadae, Biashara ya kununua na kuuza itakupa faida kubwa. Shughuli zako za kipato kubwa zifanyike kwa ushirikianao na watu waliozaliwa Mwezi January, May, July na Oktober Kuwa na tahadhari kukopa pesa au kujiingiza katika biashara miezi ya April, November na Januari.

Waliofanikiwa ambao ni Mamilionea wa Namba 2 ni hawa wafuatao:- 1. Wewe ni mtu ambaye huwa unaishi kwa wakati huo uliopo, kwa maana unatumia unachokipata kila kinapokuja, hali hii inakufanya utumie hata akiba yako uliyonayo au mtaji wako ulionao.

Njia nzuri ya kukufanya uwe na pesa nyingi ni kujithibiti, Ukifikiri makubwa basi utafanikiwa pakubwa, neno kushindwa lisiwe lako, ukiwa na tabia ya kujiamni utafanikiwa sana. Kopa, kuwa muaminifu na lipa madeni yako kwa wakati, muda mzuri wa wewe kupata pesa ni Mwezi wa March, May, Oktober na Decemba, miezi ambayo unaweza kupata matatizo ya kifedha ni mwezi wa February, June Agosti na September Waliofanikiwa ambao ni Mamilionea wa Namba 3 ni hawa wafuatao:- 1.

Wewe ni mmoja ya watu ambao unaweza au unapata pesa zako kwa wingi sana katika njia ambao si za kawaida. Kuna wakati unaweza ukawa na pesa nyingi sana na kuna wakati unakuwa huna kitu kabisa. Unaweza kuwa tofauti na pesa lakini una njia ya kuzitumia unapozipata, unatakiwa ili kuhifadhi hizo pesa uishi kwa kuwa na rekodi nzuri ya fedha, bajeti nzuri na matumizi yako yaendane na kipato chako, unapofanya manunuzi jaribu kulilia hali, nunua vitu vya bei ya chini na utapata Maendeleo Makubwa katika pesa.

Minecraft amidst

Biashara na masuala ya kipato yafanyike mwezi wa Februari, June, na Agostimiezi mibaya kwako kifedha ni mwezi wa January, May na Oktoba. Waliofanikiwa ambao ni Mamilionea wa Namba 4 ni hawa wafuatao:- 1. Wewe ni mtu ambaye unapenda kuishi kwa wakati, kwa maana ya kutumia kilichopo kulingana na hali yakohali hii au tabia hii uliyonayo huathiri sana kipato chako.

Huna tabia nzuri ya kuhifadhi fedha. Wewe ni mtu ambaye unaweza kupata fedha kwa kufanya majaribio, bila ya kuwa na tahadhari Usiwe muoga na kwa kubahatisha.Tabia za Watu na Alama za Nyota Alama za nyota zinabashiri tabia na haiba ya binadamu katika dunia.

Mpangilio au nafasi ya sayari katika mzunguko wake angani unaaminika kuleta athari kwa binadamu na matukio katika dunia. Kuna alama 12 za kiastrolojia. Kila moja ina mvuto wa nguvu wa kipekee toka katika nyota. Alama hizi ni kama ifuatavyo: 1. Samaki Pisces :Feb 19 — Machi 2. Kondoo Aries : Machi 21 — Apr 19 3. Mapacha: Gemini : Mei 22 — Ju 20 5.

Kaa Cancer : Juni 21 — Julai 22 6. Simba Leo : Julai 23 — Agosti 22 7. Mashuke Virgo :Agosti 23 — Se 22 8. Mizani Libra : Sept 23 — Okt 2 9. Mshale Sagittarius : Nov D 21 Mbuzi Capricorn :Des 22 — Jan Ndoo Aquarius :Jan 20 — Feb 1 Makundi ya Alama za Nyota: Alama hizi 12 za nyota zinagawanyika katika elementi 4 zijulikanazo kama: Moto: Yenye matamanio ya mafanikio au makuu,dadisi Maji: Yenye kubadilika na yenye uwezo wa ufahamu wa ndani Hewa: Imara na yenye kukuza a kuendeleza Udongo: Yenye elimu au uwezo wa kutambua na yenye kuhamasisha Hizi ni elementi nne zinazoongoza astrologia.

Kila kimojawapo kinabeba tabia fulani. Anategemea makuu juu yake mwenyewe na kutoka kwa wengine Mwenye kujitegemea na mweny ari ya hali ya juu Anauthubutu wa kujaribu mam makubwa Mwenzilishi wa mambo na mbunifu Kiongozi Muongeaji Ni mwenye hisia kali na asiye n uvumilivu mkubwa. Mwenye kuamua kwa akili na mbunifu Hana utulivu Ana mipango na malengo makubwa Mwenye kubadilika kirahisi 4 Nyota ya Kaa: Juni 21 — Jul 22 Ni alama ya maji: Anapenda kukaa nyumbani na kuwa na makazi mazuri yenye kumpautulivu ,usalama na ama Anapenda marafiki na familia.

ANanpenda kufuatilia historia y ukoo Hisia zake ni za wazi na ni rahis kujulikana Ana huruma Ni mwangalifu Mkimya na 5 Nyota ya Simba: Julai 23 — Agosti 22 Ni alama ya moto: Kama alivyo simba ni jasiri na mwenye uthubutu. Anapenda kuonekana na watu Sanaa ni mojawapo ya maeneo ambayo anayamudu na ambayo yanamfanya afanikiwe Wana maamuzi mazuri na ni waigizaji mahiri. Ni wenye moyo wa kutoa na wenye upendo mkubwa Ni viongozi wazuri na wenye nguvu Mwenye matumaini mazuri Mwenye kuheshimika Mshindani Mpangiliaji mzuri wa mambo y kufanya Mwenye mvuto 6 Nyota ya Mashuke: Agosti 23 — Septemba 22 Ni nyota yenye alama ya udongo Ana mategemeo makubwa juu yake mwenyewe na kutoka kwa watu wengine Ni mwenye ujuzi na mwenye mafanikio makubwa kazini Ni mchunguzi na mdadisi wa mambo na mwenye kufanya kit kimoja kwa wakati mmoja.

Wapangili wazuri wa muda na watekelezaji Ni mdadisi na mbishi katika kuhakikisha mambo yanafanyik kwa ukamilifu.

Ni wafanya kazi wenye umakini na ni waangalifu katika kazi zao Wanajali afya 7 Nyota ya Mizani: Septemba 23 — Oktoba 22 Ni alama ya hewa.Kutana na mtaalamu wa mitishamba toka tanga anatibu ugumba uzazi nguvu za kiume kukuza uume na kunenepesha uume kukuza hips shape na makalio kwa mvunge.

Kuondoa vitambi. Asalam aleykhum Mimi nyota yangu Ni punda Na yote uliyoipeleka ndio maradhi yangu mwilikuwaka moto kwa ndani. Popular Posts. Al-Fatiha [7] 2. Al-Baqara [] 3. Aal-e-Imran [] 4. An-Nisa [] 5. Al-Maeda [] 6.

Al-Anaam [] 7. Al-Araf [] 8. Al-Anfal [75] 9. At-Taubah [] Yunus [] Hud [] Yusuf [] Ar-Rad [43] Ibrahim [52] Al-Hijr [99] An-Nahl [] Al-Isra [] Al-Kahf [] Maryam [98] Taha [] Al-Anbiya [] Al-Hajj [78] Al-Mumenoon [] An-Noor [64] Al-Furqan [77] Ash-Shuara [] An-Naml [93] Al-Qasas [88] Al-Ankaboot [69] Ar-Room [60]


Magal

thoughts on “Nyota na bahati

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top